BAADA YA NDEGE ALIYOPANDA KUPATA

Joh makini ameandika maneno haya kwenye akaunti yake ya instagram baada
ya kutokea kwa hitilafu kwenye ndege ambayo alikua amepanda...Thanx God
wako salama..Tazama alichokisema hapa chini..
"Sijawahi kukutana na hitilafu ndege ikiwa angani duuu sio mchezo.
Nashukuru Mungu rubani amefanikiwa kugeuza kurudi na kutua tena Dar
salama tunasikilizia kupaa tena In God We Trust
