HIP HOP Tanzania

Friday, 21 June 2013

nimelea sana mashoga

MSANII wa filamu Bongo, Lulu Mathias ‘Aunty Lulu’ amefunguka kuwa siku akifa anaamini mbali na watu wengine mazishi yake yatatawaliwa na mashoga pamoja na watoto
 
Akizungumza na paparazi wetu hivi karibuni, Aunty Lulu alisema kutokana na ukweli kwamba wengi wanaompenda na ambao wamemzoea ni watoto waliokuwa wakimsikiliza kwenye Kipindi cha Watoto Shoo kupitia Radio One na ITV na mashoga ambao awali alikuwa kama mama yao, hao ndiyo watakaojaa kwenye mazishi yake.
Alisema sababu kubwa ya msiba wake kujaa mashoga wengi ni kwa kuwa kabla hajabadili mfumo wa maisha anayoishi sasa, alikuwa akiwalea hivyo siku ya mazishi lazima wakumbuke fadhila.
“Unajua kufa ni kama kulala, naamini siku ya mazishi yangu watakaokuwa wengi ni watoto pamoja na mashoga ambao zamani nilikuwa mama yao, wengine ni waandishi na wasanii mbalimbali wa filamu na muziki,”alisema Aunty Lulu.

Read more: http://talkbongo.blogspot.com/2013/06/mazishi-yangu-watajaa-mashoga-na-watoto.html#ixzz2Wq8ywyTE
Posted by Unknown at 02:08
Email ThisBlogThis!Share to XShare to FacebookShare to Pinterest

No comments:

Post a Comment

Newer Post Older Post Home
Subscribe to: Post Comments (Atom)

Blog Archive

  • ▼  2013 (160)
    • ▼  June (58)
      • HIZI NDIO SEHEMU NYETI 12 ZINAZOMPA MWANAMKE RAHA ...
      • TEAM ANACONDA
      • ZOLLA D AANDIKA BARUA KWA MAREHEMU MANGWEA NA LANG...
      • snura official video majanga
      • Hali ilivyokuwa leo Mjini Arusha!!!!
      • MWANAFUNZI WA CHUO KIKUU UDSM APIGWA RISASI YA TUM...
      • NEY WA MITEGO AMVALISHA KATA KEI MPENZI WAKE KWA L...
      • MWANAMKE MWENYE MAKALIO YA KICHINA MAKUBWA DUNIAN
      • KAJALA NA WEMA WAGOMBANA
      • Nassari: Lowassa anahusika kunipiga
      • SAKATA ZIMA LA KUPIGWA KWA MBUNGE WA KASULU ( MOSE...
      • SAKATA ZIMA LA KUPIGWA KWA MBUNGE WA KASULU ( MOSE...
      • nimelea sana mashoga
      • ...
      • MTOTO WA AJABU AZALIWA NA MKIA
      • MWANA FA..AJUTA KUANZISHA BIFU NA JIDE,,APOTEZA MA...
      • HII NDIO HALI YA MSANII BARNABA TANGU ALIPOPOKEA T...
      • sikiliza ngoma kali kutoka kwa wana
      • SIKILIZA WIMBO MPYA WA QUICK ROCKA FT NGWAIR NA S...
      • TUNAJIANDAA KUIPINDUA NCHI ENDAPO SERIKALI HAITAW...
      • MUONE RAY AKIFANYA MAZOEZI KUJIANDAA KUPIGANA NA Z...
      • MWIGULU NCHEMBA NA MSIGWA NUSURA WATWANGANE NGUMI ...
      • KIGETO MUSIC NI WANYAMA WANAO FANYA MZIKI WA HIP H...
      • BOMU LA ARUSHA, WATALII 4,716 WAFUTA SAFARI ZA A...
      • Hiki ndicho kilichosababisha Sugu aachiwe
      • MAGAZETI YA LEO
      • Tume ya Uchaguzi yaahirisha uchaguzi wa Madiwani A...
      • (MSAJILI WA VYAMA VYA SIASA) NITAIFUTA CHADEMA KAM...
      • FREESTYLE YA LEO
      • ULIZI WA OBAMA WATISHA
      • BINADAM HATUNA HURUMA CHEK HII HAPA
      • ...
      • JIMBO LA UBUNGO SASA KUWAKA MOTO 2015, MAULID KITE...
      • KAJALA AFUNGUKA KUHUSU BEEF LAKE NA WEMA SEPETU
      • Serikali yatoa tamko polisi kuua raia
      • HII NDIYO BIASHARA INAYOMUWEKA MJINI MWISHO MWAMPAMBA
      • FAMILIA YA MZEE NELSON MANDELA YAKOSOA WANAHABARI,...
      • PICHA 12 ZA UTUPU ZA WASANII NA WAIGIZAJI WA BONGO
      • Exclusive: ADAM JUMA WA VISUAL LAB KUACHANA NA KAZ...
      • south AFRICA Wakesha wakimuombea Mzee Mandela
      • WEMA AIBIWA POWER WINDOW KICHAPO KWA MLIZI WAKE ta...
      • MEMBE : MSIJE DAR KAMA HAMNA SHUGHULI MUHIMU
      • RAIS KAGAME AMVAA MTIKILA....ADAI NI MCHOCHEZI NA ...
      • Kaseja kiwango kimeshuka kweli?
      • SUGU AFUTIWA SHITAKA LA KUMUITA WAZIRI MKUU
      • HUU NDIO UCHAFU UNAOFANYWA KATIKA PARTY ZA KIBAO KATA
      • Kweli Tanzania hakuna Pesa?: Huyu ndiye Mtanzania ...
      • OBAMA ATOA SABABU ZILIZOMFANYA ASIENDE KENYA KWA S...
      • RIHANNA ANIKA NYETI ZAKE KWA MARA NYINGINE TENA.. ...
      • WAPENZI WADONDOKA NA KUFA WAKATI WAKIFANYA MAPENZI...
      • Nikki Lee: Mwanamke aliyefanya Mapenzi...
      • BODA BODA NI SERA YA CCM KUSAIDIA VIJANA KUKABILIA...
      • HIP HOP MICHANO na kigetoh music family
      • MAAJABU: NYATI AZAA MTOTO ANAEFANANA NA BINADAMU
      • HUYU NDIO DEM MKALI ZAIDI KULIKO WOTE KENYA???
      • KIGETOH MUSIC sikiliza michano ya HIP HOP hapa
    • ►  July (58)
    • ►  August (33)
    • ►  October (7)
    • ►  November (4)

About Me

Unknown
View my complete profile







Kwa wale mnaotuma freestyle zenu, nyimbo na video zenu nichek kwa namba zang pia email yangu hapo . Picture Window theme. Powered by Blogger.