Bondia Francis Cheka wa Tanzania (kulia) akimuadhibu mpinzani wake Mmarekani, Phill Williams, wakaati wa pambano lao la raundi 12 la kuwania Ubingwa wa Dunia uzito wa Super Middle (WBF) lililofanyika kwenye Ukumbi wa Diamond Jubilee usiku huu. Katika pambano hilo Bondi Mtanzania Francis Cheka ameweza kumgalagaza kwa Pointi mpinzani wake na kutwaa ubingwa huo.
Saturday, 31 August 2013
FRANCIS CHEKA AMTWANGA MMAREKANI NA KUCHUKUA UBIGWA WA DUNIA
Bondia Francis Cheka wa Tanzania (kulia) akimuadhibu mpinzani wake Mmarekani, Phill Williams, wakaati wa pambano lao la raundi 12 la kuwania Ubingwa wa Dunia uzito wa Super Middle (WBF) lililofanyika kwenye Ukumbi wa Diamond Jubilee usiku huu. Katika pambano hilo Bondi Mtanzania Francis Cheka ameweza kumgalagaza kwa Pointi mpinzani wake na kutwaa ubingwa huo.
Friday, 30 August 2013
DIAMOND AMFANYIA SUPRISE MZEE GURUMO KWENYE UZINDUZI WA VIDEO YAKE,AMPA GARI KAMA SHUKRANI YA MCHANGO WAKE KWENYE SANAA YA MUZIKI NCHINI TZ.
Nikizungumza jambo mbele ya wageni waalikwa nikiwa na Mzee Gurumo pembeni... |
Mzee Gurumo akionesha Ufunguo juu baada ya kumkabidhi Gari kama zawadi yangu kwake.... |
Furaha iliyoje ndani ya Moyo wangu kupewa baraka na Mzee wangu..... |
Sauti yake tu.....Iliwafanya wageni wote kuimba nae muda huu.... |
Tukelekea Nje kwenda kumkabidhi Mzee Gurumo mkoko wake..... |
Pembeni Mwangu ndio Gari niliyomchukulia Mzee Gurumo..... |
Thursday, 29 August 2013
BREAKING NEWS: MAKUNDI YA UEFA 2013/14 YATANGAZWA YASOME HAPA
A
Man united
FC shakhtar Donetsk
Bayer 04 Leverkusen
Real Sociedad
B
Real Madrid
Juventus
Galatasaray AS
FC Kobenhavn
C
Benifica
Olypiacos FC
PSG
RSC Anderlecht
D
Bayern Munich
CSKA Moskova
Manchester City
Viktoria plzen
E
Chelsea
Shackle 04
FC Basel
FC Steua Bucaresti
F
Arsenal
Olimpique Marssel
Borussia Dortmund
SSC Napoli
G
Atlántico De Madrid
Porto
FC Zenit
Austria Vienna
H
FC Barcelona
AC Millan
AFC Ajax
Celtic FC
MWIGULU NCHEMBA ATAKA MBOWE NA DR. SLAA WAKAMATWE KWA MAUAJI YA RAIA
MBUNGE wa Iramba Magharibi, Mwigulu Nchemba (CCM), amechafua hali ya
hewa bungeni kwa kuitaka Serikali kuwachukuliwa hatua viongozi wa juu wa
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA). Mbunge huyo alisema
mwenyekiti wa chama hicho, Freeman Mbowe pamoja na Katibu Mkuu wake, Dk.
Wilbroad Slaa, wanapaswa kuchukuliwa hatua kwa madai ya kusababisha
mauaji ya raia.
Mwigulu, ambaye pia ni Naibu Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Bara, alisema katika kipindi cha miaka miwili tangu nchi ilipotoka kwenye uchaguzi, viongozi hao wamekuwa wakihamasisha maandamano na kusababisha umwagaji wa damu za Watanzania.
“Mheshimiwa Naibu Spika, katika kipindi cha miaka miwili tangu nchi yetu ilipomaliza Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2010, Mbowe na Dk. Slaa wamekuwa wakitoa kauli za wazi na hata kusababisha mauaji ya watu bila hatia.
“Kutokana na hali hii, sijui Serikali inafanya nini katika kuwachukulia hatua, kwani viongozi hawa wamekuwa wakitafuta umaarufu wa kisiasa kwa kuchochea chuki na mauaji dhidi ya raia.
“Kwa hali hiyo, tangu kipindi hicho hadi leo hii wanasubiri nini badala ya kwenda kuwaweka jela, kwani huko ndiko wanatakiwa kuwa,” alisema.
Mwigulu, alisema kukosekana kwa maadili kwa baadhi ya viongozi wa siasa, ambao wamekuwa wakitumia majukwaa na kuhubiri umwagaji damu ni hatari kwa taifa.

RAY C AOKOKA RASMI KWA KUBATIZWA YUKO NA YESU SHETANI HANA NAFASI SOMA HAPA
Written By BERNAD DANIEL on 29.8.13 | 10:04
Yule dada yetu msanii maarufu wa nyimbo za ubongo wa fuleva leo hii amewaka bayana ya kuwa yeye na shetani sasa ni paka na panya. Amethibitisha hayo katika post zake za instagram. Wambea hatuna maneno mengi zaidi ya kusema angalia picha hizo na wote tuseme AMEN umechagua njia njema.
HUU HAPA CHINI NDO USHAHIDI WAKE RASMI
Kendrick Lamar Explains "Control" Lyrics, "King Of New York" Line
by Soren Baker
posted August 29, 2013 at 2:00AM GMT+0300 | 114 comments
Kendrick Lamar spoke with Los Angeles radio
station Power 106 about his performance on Big Sean's "Control" and how
he wants to "leave a mark as great as Biggie, as great as Pac."
Kendrick Lamar says that he was not aware that his verse on Big Sean’s “Control” would generate the amount of interest it did when it was released earlier this month."Honestly I didn't know it would be so much speculation behind it,” Kendrick Lamar says during an interview with Los Angeles radio station Power 106. “I just wanted to rap. If anybody knows me doing music, I wanna just rap."
In addition to saying on “Control” that he was trying to murder J. Cole, Drake, Big Sean and a host of other rappers, he also referred to himself as a descendant of late rapper Tupac Shakur.
"I'm Makaveli's offspring," Lamar raps on "Control," likely referring to Tupac Shakur's 1996 release as Makaveli, The Don Killuminati (The 7 Day Theory). "I'm the King of New York, King of the Coast, one hand, I juggle them both."
Several New York rappers, including Raekwon and Papoose, said that Kendrick Lamar’s claim was unwarranted.
During his Power 106 interview, Kendrick Lamar says that the "King Of New York" lyric was misinterpreted.
“The irony of that line is that the people that actually understood it and got it was the actual kings of New York,” Kendrick Lamar says. “Me sitting down with them this past week, and them understanding that it's not about actually being the King of whatever Coast. It's about leaving a mark as great as Biggie, as great as Pac."
In the interview snippet above, Power 106 says it will air the rest of radio host Big Boy’s interview with Kendrick Lamar tomorrow (August 28) at 10:20 am EST.
Saturday, 17 August 2013
Check Pich a Ya Jama aliyetajirika Baada kujibadilisha Mwili wake na kuwa kama Mjusi au Kinyonga, Atajirika kwa hili.
Jina alilopewa na wazazi wake ni Erik Sprague, ingawa Ulimwengu unamfaham kama Lizardman, huku akiwa na vipindi zaidi vya Television kibao akionesha jinsi alivyoweza kuubadilisha mwili wake huo.
Mabadiliko hayo yanajumuisha kuchonga meno na kuwa makali, Tattoo mwili mzima ikiwa ya rangi ya kijani na magamba, Ulimi kupasuliwa kati na kuwa pacha, Manundu maalumu usoni na hivi karibuni hadi midomo yake imekuwa ya kijani yote.
Kumekuwa na Uvumi kwamba huenda nyota huyo wa moenesho ya vipindi mbali mbali vya kutisha angefanya mpango aoteshwe mkia, lakini mwenyewe amekanusha na kusema jambo hilo haliwezekani. Mbali na shows kibao amekuwa mwandishi mzuri wa jinsi ya kuubadilisha mwonekano mwa mwili kupitia Body Transformation E-Zine
Lizard Skynyrd ndo jina la Bendi yake ambayo imekuwa ikizunguka sehemu tofauti tofauti duniani kwa matamasha mbali mbali.
Tuesday, 13 August 2013
DAVID KIWOOLI : MADEM WA AFRICA WATAKA KUOLEWA NA AMMY NANDO PIA Y...
DAVID KIWOOLI : MADEM WA AFRICA WATAKA KUOLEWA NA AMMY NANDO PIA Y...: Amini usiamini, huenda Ammy Nando akawa mshiriki wa kwanza tangu shindano la Big Brother Afrika lianzishwe aliyevuta zaidi hisia za w...
MADEM WA AFRICA WATAKA KUOLEWA NA AMMY NANDO PIA YASEMEKANA HUYU NDIE MWANAUME WA KWANZA KUPENDA NA WANAWAKE WINGI TOKA BBA IMEANZA
Amini usiamini, huenda Ammy Nando akawa
mshiriki wa kwanza tangu shindano la Big Brother Afrika lianzishwe
aliyevuta zaidi hisia za wasichana Afrika.
Mamia ya wasichana wameendelea kumtumia tweets za kumtaka uchumba Mtanzania huyo huku wengine wakimuomba awaoe kabisa.
Hizi ni baadhi tu ya tweets:
Yvonne Malik♥: @Ammynando would u marry me? : D pleaaaasssee
Kay Thomas: Love you Nando!All the way from SA…Please RT
Nikki B: @Ammynando let’s get married and have babies. Our own little soccer team haha. So much love for you♥
libEy @Ammynando *sigh* u r ssooo hot it should be a crime…BBA hasnt been the same without u..damn i dont knw wat u do but i jc LiK3 u ALoT
Jasmine crazy kalmia Ammynando call me crazy or judge me however but I am staying single dating till I meet nando face2face and he will be the one and only.
Mindless Mandy: Ammynando u fell In love with da chase I fell In love with u #fab ♥ & screw da haters
♡Joyce ♡: Lols nando my man dint dump selly. They were neva 2geda. D yeye dey craze for fine boy
Tumi Malefo: @Ammynando I’ve got so much love for you! You’re the man! The realest, I’d appreciate a follow back and RT
whitney @whitcute: @Ammynando if loving Nando is a Crime, then where are the Police Men.?? #WantToBeBehindBars
Ice Cubes @omiyen: @Ammynando I tell my frds that U̶̲̥̅̊ r a straight forward person (TRUE) who dnt fake things…wen i av a baby boy i will name him NANDO
FEMALE OBEY: @Ammynando HEY NAaaaaaNAaaanDoooooooo!! ♥ ♥. ..♥ . .♥♥. . . .♥. . . .♥♥. . . . ♥just spreading lOve to the mOst wonderful guy to hit Earth☺

R
MABINTI WAWILI WAKAMATWA AIRPORT NA MADAWA YA KULEVYA YENYE THAMANI YA BILIONI 2.5
Vitendo vya usafirishaji wa madawa ya kulevya vinazidi kuendelea
duniani na safari hii wasichana wawili wadogo kabisa, mmoja ana umri wa
miaka 19 na mwingine ana umri wa miaka 20 wote wawili wamekamatwa kwenye
airport ya Lima nchini Peru wakijaribu kusafirisha mzigo huo.
Passport za mabinti hao zinawatamburisha kama raia wa uingereza na huko ndiko mzigo huo ulikuwa unaelekea.
Baada ya kukamatwa na polisi mabinti hawa Mellisa 19 na Michaella 20, walikubali kosa hilo la kujaribu kusafirisha madawa ya kulevya aina ya Cocaine na hadi hivi sasa wapo kwenye mikono ya polisi.

Michelle Obama Aamua Na Yeye Kutoa Albam Ya Hip Hop, Ataiachia Rasmi Mwezi September mwaka huu
Mke wa Rais wa
Marekani, Michelle Obama anatarajiwa kuachia albam ya Hip Hop kwa mara
ya kwanza katika historia tarehe 30 mwezi Septemba.
Katika albam hii, Michelle hajasimama kama msanii wala mwimbaji lakini ni kama mratibu ambaye amefanya kazi ya kuwaleta pamoja wasanii mbalimbali wa Hip Hop kwaajili ya kufanya kazi hii.
Alba hii ni sehemu ya mpango wa kampeni ya Michelle inayofahamika kama Let’s Move kwaajili ya kupambana na ugonjwa wa Unene Kupitiliza na kuwahamasisha watoto kujiweka fiti kwa mazoezi.
Albam hii inahusisha wasanii kama vile Iman Shumpert, Doug E. Fresh, DMC na wengineo na hii hapa ndiyo tracklist ya labam nzima;
1. ‘U R What You Eat’ (Salad Bar: Matisyahu, Ariana Grande, Travis Barker)
2. ‘Everybody’ (Jordin Sparks, Doug E. Fresh, Dr Oz, Ryan Beatty, Hip Hop MD)
3. ‘Let’s Move’ (Doug E. Fresh, Artie Green, Chauncey Hawkins)
4. ‘Just Believe’ (Ashanti, Gerry Gunn, Artie Green, Robbie Nova)
5. ‘Veggie Luv’ (Monifah and J Rome)
6. ‘Hip Hop FEET’ (DMC and Artie Green)
7. ‘Stronger’ (Shayna Steele, Jeremy Jordan, Our Time Theater kids, and E-Street Band guitarist Nils Lofgren)
8. ‘Give Myself a Try’ (Ryan Beatty)
9. ‘Jump Up’ (Brady Rymer and the Little band that Could)
10. ‘Hip Hop LEAN’ (Artie Green)
11. ‘Pass the Rock’ (Iman Schumpert and Artie Green)
12. ‘Good Living’ (Ashton Jones)
13. ‘Beautiful’ (Daisy Grant and Artie Green)
14. ‘Change the Game’ (The Happiness Club, featuring Naledge)
15. ‘Wanna Jump (Let’s Move)’ (Paul Burch)
16. ‘Mother May I’ (Amelia Robinson)
17. ‘We Like Vegetables’ (Los Barkers!)
18. ‘Get Up Sit Up’ (Babi Floyd)
19. ‘One Step Forward’ (Samite)

SAKATA LA SHEIKHE ISSA PONDA: WAISLAMU WAGEUZA KITUO KIKUU CHA POLISI MORO KUWA SEHEMU YA SWALA.
Waumini wa dini ya kiislamu Manispaa ya Morogoro wakiwa katika ibada ya swala ya adhuri eneo la kituo kikuu cha polisi mkoa wa Morogoro wakati viongozi wa dini hiyo wakiwa na viongozi wa jeshi la polisi katika tume huru ya jinai iliyounda na makao makuu ya jeshi hilo kuchunguza tukio la kujeruh
iwa kwa Sheike Ponda Issa agosti 10 mwaka huu katika uwanja wa shule ya msingi Kiwanja cha Ndege mara baada ya kumalizika kwa kongamano la kidini la idd pili mjini hapa, kwa kitu kinachodhaniwa kuwa ni risasi.
JUMAMTANDA.BLOGSPOT.COM
Monday, 12 August 2013
Walter Chilambo Avunja Ukimya Baada ya Kuchanwa na Ney Kuwa Ana Maisha Duni Licha Ya Kushinda Milioni 50 za EBSS
Baada
ya maneno na tuhuma nzito za Ney wa Mitego dhidi ya Mshindi wa Epiq
Bongo Star Search mwaka 2012, Walter Chilambo kuwa 'huenda' amedhulumiwa
zawadi yake ya ushindi, Shilingi Milioni 50 na waratibu wa shindano
hilo kwa sababu mpaka sasa yupo katika maisha duni, Msanii huyu amevunja
ukimya na kusema kuwa yeye yupo vizuri tu.
Walter amesema kuwa maneno haya hayana ukweli wowote na yeye anaishi vizuri tu na kwa Ney, Hadhani kama alikaa chini na kufikiria kabla ya kuongea kuhusiana na issue hii katika wimbo wake, wala hakufanya uchunguzi wowote ambao uliomhusisha yeye.
Walter amesema kuwa yeye na Ney hawana ukaribu wowote, na walishawahi kukutana hivi karibuni na alipomuuliza ni kwanini amemuimba vile katika wimbo wake, Ney alimwambia kuwa 'asipanik' then akapotezea na mambo issue nyingine na kisha kutimua zake.
Walter amemaliza kwa kusema kuwa, Maneno haya hayamuumizi vile hayana ukweli wowote, na vilevile hayawezi kumuondolea mashabiki wake.

Thursday, 8 August 2013
DUDUBAYA ASEKWA LUMANDE KWA KUCHOMA NYUMBA YA BABA WA MSANII MWENZAKE "GEEZ MABOVU"
Godfrey Tumaini "Dudu Baya".
Tukio hilo lilitokea Agosti 1, mwaka huu ambapo mwenye nyumba
sambamba na polisi walimkamata Dudu Baya na mkewe Mariam kwa madai ya
kuchoma moto nyumba kwa makusudi na kuwapeleka katika Kituo cha Polisi
Oysterbay.“Mkewe alitupia mkaa wa moto katika sofa, likashika moto kabla majirani hawajanisaidia kuuzima. Baada ya kuwauliza kulikoni wakanitishia maisha ndipo nikawapeleka polisi na kupewa RB namba OB/RB/13485/2013 na kuja kumkamata,” alisema Mashaka.
Dudu Baya alipotafutwa na mapaparazi wetu, alikiri kukamatwa na kuwekwa sero kwa saa sita kabla ya kuwekewa dhamana na shemeji yake aliyemtaja kwa jina la Vero.
“Vyumba vyake na vyangu haviingiliani kabisa, tumetenganishwa na ukuta hivyo shutuma zake hazina ukweli dhidi yetu ila naamini uchunguzi wa polisi ndiyo utatoa majibu,” alisema Dudu baya.
LinkWithin
Tuesday, 6 August 2013
TAHADHARI:HIZI NI PICHA ZA WATU WANAOBEBA MADAWA YA KULEVYA TUMBONI (PICHA ZINATISHA) KAMA HUWEZI KUTAZAMA TAFADHALI USIANGALIE..
Picha inajieleza yenyewe tuungane kuyapiga vita kwa pamoja mimi wewe na yule. |
Hii ni picha ya x ray inayoonesha ndani ya tumbo madawa aliobeba. |
Yanavyoweza kuathili baadhi ya sehemu katika mwili. |
Operation ikifanyika tayari kuyaondoa madawa hayo yaliompelekea kijana huyu kufariki. |
Operation ikiendelea hatari sana ndugu zangu. |
Baada ya utumbo kutolewa tayali kuanza kuyatoa madawa hayo. |
Kama uonavyo yakiwa ndani ya utumbo mpana. |
Yakianza kutolewa pamoja na kushafishwa jinsi unavyoona katika picha. |
Baada ya utumbo kuchanwa tayari kwa kutoa keti hizo. |
Subscribe to:
Posts (Atom)