Hizi ni picha nne
za Watanzania wawili waliojeruhiwa vibaya na kikundi cha watu wapatao 20
hadi sasa haijajulikana ni akina nani kama ni Waalbania au Ni vishoka
wengine au Wagiriki. Tukio limetokea jana usiku wakati walipopita karibu
na watu hao waliowajeruhi ambao wanasema walikuwa wamevunja gari za
watu kuiba sasa inaonekana kuwa walifikiria wataita polisi ndipo
walipowavamia. Habari hizi zimetolewa na mdau mmoja wa Ugiriki
No comments:
Post a Comment